Divai ilipokwisha, Bikira Maria alimhimiza mwanae ajihusishe, ikawa hivyo kwamba Yesu alifanya muujizawake wa kwanza [3] kwa kugeuza mapipa ya maji kuwa divai bora akidhihirisha utukufu wake hata wanafunzi wake wakamuamini [4][5].
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arusi ya Kana kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!