Katika Mathayo na Marko, Yesu Kristo anamlilia Mungu. Katika Luka, yeye anawasamehe wauaji wake, anamfariki mhalifu aliyetubu, na kumkabidhi Babaroho yake. Katika Yohane, Yesu anasema na mama yake na mwanafunzi mpendwa, anatokeza kiu yake, na kutangaza utimilifu wa kazi na maisha yake yote kadiri ya mpango wa Mungu[4].
Maneno ya buriani ya mtu yeyote yanatiwa maanani sana. Yanaweza kusaidia kuelewa nini ilikuwa muhimu kwake. Ilikuwa hivyo hasa kwa Yesu[5] aliyeweza kusema machache tu kutokana na hali yake.[6]
↑Richard Young (Feb 25, 2005). Echoes from Calvary: meditations on Franz Joseph Haydn's The seven last words of Christ, Volume 1. Rowman & Littlefield. ISBN978-0742543843. Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2012. Interestingly, the Methodist Book of Worship adopted by the General Conference of 1964 presented two services for Good Friday: a Three Hours' Service for the afternoon and a Good Friday evening service that includes the "Adoration at the Cross" (the Gospel, Deprecations, and Adoration of the Cross) but omits a communion service, which would be the Methodist equivalent of the Mass of the Presanctified.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
↑The Encyclopædia Americana: a library of universal knowledge, Volume 13. Encyclopedia Americana. 1919. Iliwekwa mnamo 1 Aprili 2012. The 'Three Hours' Devotion, borrowed from Roman usage, with meditation on the 'seven last words' from the Cross, and held from 12 till 3, when our Lord hung on the Cross, is a service of Good Friday that meets with increasing acceptance among the Anglicans.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Maneno saba kama historia yake au athari wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!