Hii ni kwa sababu Injili na vitabu vingine juu yake havitaji kwa kawaida tarehe wala mwaka wa matukio vinavyoyasimulia.
Hata hivyo, vikitaja watu wanaojulikana na historia kwa njia nyingine (kwa mfano Kaisari Augusto na Kaisari Tiberi), au mambo mengine ya namna hiyo, inaweza kujua kwa kiasi kikubwa au kidogo mwaka au hata tarehe ya matukio hayo.[1][2]
Muhimu zaidi ni kukadiria Yesu alizaliwa akafariki lini.
Kuhusu kuzaliwa kwake, inajulikana kuwa kulitokea chini ya mfalmeHerode Mkuu, aliyetawala hadi alipofariki mwaka 4 KK. Hivyo, wengi wanakubali kwamba Yesu alizaliwa kidogo kabla ya hapo, labda mwaka 6 KK[3][4][5][6]ingawa Denis Mdogo kwa kukosea alihesabu tofauti miaka 500 baadaye alipoona inafaa kugawa miaka yote ya historia katika makundi mawili, KK na BK.
↑Some of the historians and Biblical scholars who place the birth and death of Jesus within this range include D. A. Carson, Douglas J. Moo and Leon Morris. An Introduction to the New Testament. Grand Rapids, MI: Zondervan Publishing House, 1992, 54, 56
↑Michael Grant, Jesus: An Historian's Review of the Gospels, Scribner's, 1977, p. 71.
↑Evans, Craig A. (2001). Jesus and His Contemporaries: Comparative StudiesISBN 0-391-04118-5 page 316
↑Wansbrough, Henry (2004). Jesus and the oral Gospel traditionISBN 0-567-04090-9 page 185
↑James Dunn states that there is "broad consensus" among scholars regarding the nature of an authentic reference to the crucifixion of Jesus in the Testimonium.Dunn, James (2003). Jesus rememberedISBN 0-8028-3931-2 page 141
↑Skeptic Wells also states that after Shlomo Pines' discovery of new documents in the 1970s scholarly agreement on the authenticity of the nucleus of the Testimonium was achieved, The Jesus Legend by G. A. Wells 1996 ISBN 0812693345 page 48: "... that Josephus made some reference to Jesus, which has been retouched by a Christian hand. This is the view argued by Meier as by most scholars today particularly since S. Pines..." Josephus scholar Louis H. Feldman views the reference in the Testimonium as the first reference to Jesus and the reference to Jesus in the death of James passage in Book 20, Chapter 9, 1 of the Antiquities as "the aforementioned Christ", thus relating the two passages.Feldman, Louis H.; Hata, Gōhei, eds. (1987). Josephus, Judaism and ChristianityISBN 978-90-04-08554-1 page 55
↑Pontius Pilate: portraits of a Roman governor by Warren Carter 2003 ISBN 0-8146-5113-5 pages 44-45
↑The history of the Jews in the Greco-Roman world by Peter Schäfer 2003 ISBN 0-415-30585-3 page 108
↑Backgrounds of early Christianity by Everett Ferguson 2003 ISBN 0-8028-2221-5 page 416
↑Bromiley, Geoffrey W. (1995), International Standard Bible Encyclopedia. Wm. B. Eerdmans Publishing. vol. K-P. p. 929.
↑ 16.016.1Van Voorst, Robert E (2000). Jesus Outside the New Testament: An Introduction to the Ancient Evidence Eerdmans Publishing ISBN 0-8028-4368-9 pages 39-42
↑Backgrounds of early Christianity by Everett Ferguson 2003 ISBN 0-8028-2221-5 page 116
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tarehe za maisha ya Yesu kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!