Agnus Dei ni pia jina la litania fupi ambayo inaanzia na maneno hayo na kutumika wakati wa Misapadri anapomega hostie takatifu na kuchanganya kipande na umbo la divai lililomo katika kikombe.
Litania fupi ya namna hiyo inapatikana pia katikati ya utenzi maarufu kwa jina la Kilatini "Gloria".
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwanakondoo wa Mungu kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!