Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Karol Józef Wojtyła (matamshi: ˈkarɔl ˈjuzɛf vɔiˈtɨwa).
Wengi wanamhesabu kati ya watu walioathiri zaidi karne ya 20, hasa kwa sababu tangu mwanzo wa Upapa wake alipambana na Ukomunisti uliotesa nchi yake asili na nyinginezo, akachangia kwa kiasi kikubwa kikomo chake na kusambaratika kwa Urusi.[3][4][5][6][7][8]
Ziara zake 104 kati nchi 129 ulimwenguni kote, mbali na 146 nchini Italia na 317 katika parokia za Roma, zilikusanya mara nyingi umati mkubwa (hadi zaidi ya milioni 4 huko Manila, Ufilipino, mwishoni mwa siku ya kimataifa ya vijana), na kumfanya asafiri kuliko jumla ya mapapa wote waliomtangulia, akiwa mmojawapo kati ya viongozi wa dunia waliosafiri zaidi.
Papa Wojtyła alitangaza wenye heri 1,340 na watakatifu 483, ili kuwapa Wakristo wa leo vielelezo mbalimbali kwa maisha yao ili walenge utakatifu walioitiwa na Mungu.[13][14] Idadi hiyo ni kubwa kuliko ile ya waliotangazwa na jumla ya Mapapa wote waliomtangulia walau katika karne tano za mwisho.[15][16][17][18][19]
Karol Józef Wojtyła alizaliwa Wadowice[27] nchini Poland akiwa mtoto wa tatu na wa mwisho wa Karol Wojtyła,[28] na Emilia Kaczorowska, ambaye alikuwa na asili ya Kilithuania, akafariki tarehe 13 Aprili1929,[29]. Dada yake Olga alikufa kabla Karol hajazaliwa; hivyo, alihusiana sana na kaka yake Edmund, mpaka huyo alipokufa kwa tetekuwanga kutokana na kazi yake ya udaktari.
Akiwa kijana, Karol alipenda sana spoti akacheza mara nyingi kandanda kama kipa.[30]
Miaka ya malezi yake iliathiriwa na uhusiano mkubwa na Wayahudi wengi wa Wadowice. Mara nyingi kulikuwa na mechi kati ya Wakatoliki na Wayahudi, naye alijitolea kuwa kipa wa Wayahudi timu yao ilipopungukiwa wachezaji.
Katikati ya mwaka 1938, Karol na baba yake walihamia Kraków, alipojiunga na chuo kikuu maarufu cha "Jagiellonian University". Huko akisoma filolojia na lugha 12 tofauti, alijitolea kusaidia kama mkutubi. Alipolazimishwa kujiunga na jeshi (36th Infantry Regiment (Poland)|Academic Legion), alikataa kufyatua risasi. Pia aliigiza na kutunga mwenyewe tamthilia.
Mwaka 1939Ujerumani wa Hitler ulivamia Polandi ukafunga chuo kikuu hicho, huku wanaume wote wakidaiwa kufanya kazi. Hivyo, tangu mwaka 1940 hadi 1944, Karol alifanya kazi mbalimbali za mikono asije akahamishiwa katika makambi ya KZ.[27]
Baba yake alifariki kwa mpasuko wa moyo mwaka 1941, akimuacha peke yake.[28][29][31] Miaka 40 baadaye alisema,"Sikuwepo mama alipofariki, sikuwepo kaka alipofariki, sikuwepo baba alipofariki. Kufikia umri wa miaka 20 nilikuwa nimeshapoteza wapenzi wangu wote".[31]
Ndipo alipoanza kufikiria sana wito wa upadri, ambao polepole ukawa ‘jambo la ndani lenye hakika ya hali ya juu’.[32] Kwa sababu hiyo, mnamo Oktoba 1942, alipiga hodi kwenye nyumba ya [[askofu mkuu] wa Kraków, kardinaliAdam Stefan Sapieha, akaomba asomee upadri.[32] Mapema akawa anasoma kwa siri katika seminari iliyoendeshwa huko kwa maficho.
Tarehe 29 Februari1944, Karol aligongwa na lori la Kijerumani. Tofauti na kawaida, alipelekwa hospitalini alipotibiwa wiki mbili. Kunusurika ajali hiyo kulimthibitisha katika wito wake.
Tarehe 6 Agosti1944, ‘Black Sunday’, askari wa Gestapo walijaribu kukamata wavulana wote wa Kraków wasije wakaanza mapambano dhidi yao[33] kama ilivyotokea Warsaw.[34][35] Karol alifaulu kufichama katika andaki la nyumba iliyokaguliwa na askari, wakati vijana zaidi ya elfu nane walikamatwa siku hiyo.[32][33][34] Halafu akafichama nyumbani kwa askofu mkuu hadi Wajerumani walipofukuzwa tarehe 17 Januari1945.[36]
Hapo wanafunzi waliteka seminari, naye akajitolea kusafisha vyoo vilivyojaa mavi ya muda mrefu.[37] Mwezi huohuo, alimuokoa Edith Zierer, binti Myahudi wa miaka 14 ambaye alikuwa amekimbia kambi la Częstochowa lakini akazimia kwenye reli.[38] Karol akampandisha juu ya treni na kumfikisha salama mjini Kraków.[39][40][41]B'nai B'rith na makundi mengine ya Kiyahudi yamethibitisha kuwa Karol aliokoa wengine vilevile dhidi ya dhuluma ya Wanazi.
Upadri
Kisha kumaliza masomo yake seminarini, tarehe 1 Novemba1946 Karol alipewa upadirisho na kardinali Adam Stefan Sapieha.[42][43]
Akirudi Polandi katikati ya mwaka 1948 alipangiwa kazi yake ya kichungaji ya kwanza katika kijiji cha Niegowić, maili 15 kutoka Kraków. Alipofika huko tu, alipiga magoti na kubusu ardhi kama atakapofanya mara nyingi katika safari zake za kimataifa akifika kwenye nchi fulani.[44] Tendo hilo liliiga lile la mtakatifu Jean Marie Baptiste Vianney.[44]
Mwaka 1954 alipata udaktari wa pili katika falsafa,[45] kwa kutathmini uwezekano wa kufundisha maadili ya Kikatoliki kwa kutumia fenomenolojia ya Max Scheler. Lakini serikali ya Kikomunisti ilimzuia asipewe digri hiyo mpaka mwaka 1957.[43]
Katika miaka 12 ya kwanza ya upadri wake alitunga pia fasihi mpya mbalimbali kuhusu vita, hali ya maisha chini ya Ukomunisti, majukumu ya kichungaji n.k. Lakini alichapisha maandishi hayo kwa kutumia jina la bandia Andrzej Jawień au Stanisław Andrzej Gruda[46][47] – tofauti na maandishi yake ya kidini yaliyotolewa kwa jina lake halisi.[46][47]
Mwaka 1960, Wojtyła alitoa kitabu muhimu cha maadilidiniLove and Responsibility, akitetea mafundisho ya Kanisa Katoliki kuhusu ndoa kwa kutumia mtazamo wa kifalsafa.[48]
Uchaguzi wa pili wa mwaka huo 1978 ulianza tarehe 14 Oktoba[55][55] na Wojtyła akashinda walipopiga kura mara ya nane. Hapo alijichaguliwa jina la Yohane Paulo II[43][55] kwa heshima ya watangulizi wake wa mwisho.[54][56][57][56][58]
Akiwa na miaka 58 tu, alikuwa kijana kuliko Mapapa wote waliochaguliwa baada ya Papa Pius IX mwaka 1846, aliyekuwa na miaka 54.[43]Ibada ya kuanzia rasmi Upapa wake ilifanyika tarehe 22 Oktoba 1978.[59]
Mafundisho
Kama papa, moja kati ya kazi zake muhimu ilikuwa kufundisha imani na maadili. Hakuna Papa aliyewahi kuwahubiria watu wengi zaidi.
Katika kupokea watu siku 1160 za Jumatano, alifikia watu 17,600,000.
Kati ya katekesi zake alizowapa, maarufu zaidi ni zile juu ya "Teolojia ya Mwili".
Katika Fides et Ratio alionyesha haja ya imani na akili kushirikiana ili kujua ukweli.
Yohane Paulo II alitoa mafundisho mengi kuhusu jamii pia, akitetea heshima ya watu wote, kuanzia wanawake, na umuhimu wa familia: Jinsi familia inavyokwenda, ndivyo taifa linavyokwenda na ndivyo ulimwengu tunamoishi unavyokwenda.[8].
Hati nyingine zinahusu Injili ya Uhai (Evangelium Vitae) na Ekumeni (Ut Unum Sint).
Wakati wa upapa wake, Yohane Paulo II alisafiri zaidi ya kilometa milioni 1.1[6], akivutia umati mkubwa sana.[61][62][61][61]
Safari zake nchini Polandi ziliwatia moyo wananchi kuungana dhidi ya dhuluma za Ukomunisti.[63][8] On later trips to Poland, he gave tacit support to the organization.[8][3][4][5][6][7][63]
Tangu alipokuwa padri, Yohane Paulo II alikuwa na kipaji cha pekee cha kuvuta vijana[82][83][82] Kwa ajili yao mwaka 1984 alianzisha World Youth Day ili kuwakusanya kwa wiki moja kutoka duniani kote katika kuadhimisha imani kwa furaha.[27][82][83][27][83] Wakati wa Upapa wake aliadhimisha mara 19 siku kama hizo, mara jimboni Roma, mara kwingine kimataifa akikusanya hata vijana milioni kadhaa.
Baadaye alianzisha pia mkutano wa kimataifa wa familia (1994).[27]
Tarehe 27 Oktoba1986 alikusanya Assisi zaidi ya wawakilishi 120 wa dini na madhehebu kutoka dunia nzima kwa siku moja ya kufunga chakula na kusali kwa ajili ya amani.[88]
Jaribio la kumuua
Tarehe 13 Mei1981, Mehmet Ali Ağca alimfyatulia risasi[6][89][90][91]. Ingawa alilenga vizuri na kumsababisha Papa apotewe na robo tatu za damu yake, baada ya saa tano za operesheni Yohane Paulo II alinusurika.[92][92][93][94] Baadaye Papa alisema aliokolewa na Bikira Maria wa Fatima.[6][89][95] Mwaka 1983 alimtembelea Mehmet Ali Ağca gerezani na kumsamehe. Nyuma yake dalili mbalimbali zilionyesha uwepo wa Urusi uliochukia siasa yake nchini Polandi dhidi ya Ukomunisti.[6][89][96]
Mwaka 2000, akiadhimisha Jubilei kuu, alipigania msamaha wa madeni ya nchi maskini.
Mwaka 2003 akawa pia mmojawapo kati ya watu waliopinga zaidi vita dhidi ya Iraq[8][97]
Baada ya utafiti juu ya ushujaa wa maadili yake,[117][118] juu ya maandishi yake na juu ya muujiza uliomtokea sista Marie Simon-Pierre wa Ufaransa kwa maombezi ya Papa,[108][115] was reported to have experienced a "complete and lasting cure after members of her community prayed for the intercession of Pope John Paul II".[14][103][108][119][120][121][112][115][122][123]Sista huyo alimuambia mwandishi Gerry Shaw:
"Nilikuwa mgonjwa, sasa nimepona. Nimepona, lakini ni juu ya Kanisa kusema kama umetokea muujiza au la"."[115][122]
Sala yake
Ee Kristo, kichwa na mwokozi pekee,
uvute kwako viungo vyako vyote.
Uwaunganishe na kuwageuza katika upendo wako,
ili Kanisa ling’ae kwa ule uzuri upitao maumbile
unaodhihirishwa katika watakatifu wa kila wakati na taifa,
katika wafiadini, waungamadini, mabikira
na mashahidi wasiohesabika wa Injili!
Ee Yesu mtamu, Yesu mwema,
Yesu, mwana wa Maria!
Amina!
↑ 5.05.1Bottum, Joseph (18 Aprili 2005). "John Paul the Great". Weekly Standard. ku. 1–2. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-06. Iliwekwa mnamo 2009-01-01.
↑Hastings, Adrian; Alistair Mason; Hugh S. Pyper The Oxford Companion to Christian Thought Oxford University Press 2000 p. 95 Online version available at Google Books
↑Whether John Paul II canonised more saints than all previous popes put together is difficult to prove, as the records of many early canonisations are incomplete, missing, or inaccurate.
↑"Pope John Paul II". The Robinson Library. 20 Oktoba 2008. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-02. Iliwekwa mnamo 2009-01-01. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
↑"Profile of Edith Zierier (1946)". Voices of the Holocaust. 2000 Paul V. Galvin Library, Illinois Institute of Technology. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-19. Iliwekwa mnamo 2009-01-01.
↑ 82.082.182.2Bonacci, Mary Beth (5 Mei 2005). "The Pope of the Youth". Crisis Magazine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-25. Iliwekwa mnamo 2009-01-01.
↑Lee, Martin A.. "The 1981 Assassination Attempt of Pope John Paul II, The Grey Wolves, and Turkish & U.S. Government Intelligence Agencies", 2001, 2009 San Francisco Bay Guardian, 14 Mei 2001, pp. 23, 25. Retrieved on 2009-01-01.
de Montfort, St. Louis-Marie Grignion (2007–2009). True Devotion to Mary. Avetine Press 1023 4th Avenue 204 San Diego, CA 92101. ISBN1-59330-470-6. {{cite book}}: |access-date= requires |url= (help); External link in |publisher= (help); Unknown parameter |coauthors= ignored (|author= suggested) (help)CS1 maint: date format (link)
Military forces of the state of Transnistria This article uses bare URLs, which are uninformative and vulnerable to link rot. Please consider converting them to full citations to ensure the article remains verifiable and maintains a consistent citation style. Several templates and tools are available to assist in formatting, such as reFill (documentation) and Citation bot (documentation). (September 2022) (Learn how and when to remove this template message) Armed Forces of the Pridnestrovian ...
هذه المقالة تحتاج للمزيد من الوصلات للمقالات الأخرى للمساعدة في ترابط مقالات الموسوعة. فضلًا ساعد في تحسين هذه المقالة بإضافة وصلات إلى المقالات المتعلقة بها الموجودة في النص الحالي. (سبتمبر 2020) هذه المقالة يتيمة إذ تصل إليها مقالات أخرى قليلة جدًا. فضلًا، ساعد بإضافة وصلة...
جزيرة سيلارومعلومات عامةجزء من جزر تانيمبار البلد إندونيسيا[1][2][3] تقع في التقسيم الإداري Tanimbar Islands Regency (en) [1] موجود بالقرب من المسطح المائي بحر آرافورابحر تيمور[4][5] الإحداثيات 8°11′38″S 130°59′04″E / 8.1938°S 130.9845°E / -8.1938; 130.9845[6] عدد السكان 12
Pia desideria (1676) Pia desideria (mit dem Untertitel Herzliches Verlangen nach gottgefälliger Besserung der wahren evangelischen Kirchen) ist der Titel einer 1675 erschienenen Schrift von Philipp Jacob Spener. Sie enthält das Kirchenreformprogramm des Pietismus. Als gelehrte Redensart (von lat. pius „fromm“ und desiderium „Wunsch“) bezeichnet pia desideria gutgemeinte, aber unerfüllbare Wünsche.[1] Auch der Jesuit Herman Hugo veröffentlichte bereits 1627 eine Schrift un...
Menurut sejarahnya, keberadaan Batik di Cianjur sudah ada dan berkembang sejak pada tahun 1920. Pada saat itu, pernah ada seorang pengrajin batik yang berada di Kel.Bojongherang dan kain Poleng yang terkenal di daerah Sindanglaka, Karangtengah.[1]Artikel ini sebatang kara, artinya tidak ada artikel lain yang memiliki pranala balik ke halaman ini.Bantulah menambah pranala ke artikel ini dari artikel yang berhubungan atau coba peralatan pencari pranala.Tag ini diberikan pada Need descri...
Bagian dari seri tentangAgama Baháʼí Tokoh Utama Bahá'u'lláh Sang Báb 'Abdu'l-Bahá Shoghí Effendí Dasar Ajaran Tuhan itu satu Manusia itu satu Agama itu satu Hukum Ibadah Penanggalan Puasa Teks Keagamaan Kitáb-i-Aqdas Kitáb-i-Íqán Kalimat Tersembunyi Tulisan-tulisan Bahá'í Lembaga Administrasi Baháʼí Lembaga Perwalian Balai Keadilan Sedunia Majelis Rohani Sejarah Sejarah Bahá'í Linimasa Bahá'í Bábisme Persekusi Tokoh Lainnya Rasul Tangan Agama Tuhan Táhirih Situs dan T...
Men's national basketball team representing Canada This article is about the men's team. For the women's team, see Canada women's national basketball team. CanadaFIBA ranking6 9 (September 15, 2023)[1]Joined FIBA1936FIBA zoneFIBA AmericasNational federationCanada BasketballCoachJordi FernándezNickname(s)Team CanadaOlympic GamesAppearances9Medals Silver: (1936)FIBA World CupAppearances15Medals Bronze: (2023)FIBA AmeriCupAppearances19Medals Silver: (1980, 1999) Bronze: (1984, 1988, 200...
Software for viewing multimedia, rich Internet applications, and streaming video and audio This article is about the player. For an overview of the platform, see Adobe Flash. Shockwave Flash redirects here. Not to be confused with Adobe Shockwave. For the file format sometimes referred to as Shockwave Flash, see SWF. Adobe Flash PlayerOriginal author(s)FutureWaveMacromediaDeveloper(s)Adobe Inc.ZhongchengHarmanInitial releaseJanuary 1, 1996; 27 years ago (1996-01-01)Stable re...
BASISMajalah Basis 15 Agustus 1951 No. 01 (Nomor Percobaan). (Sumber: Koleksi Majalah Basis)FrekuensiDwibulananTerbitan pertama1 Oktober 1951NegaraIndonesiaBerpusat diDaerah Istimewa YogyakartaBahasaBahasa IndonesiaSitus webwww.majalahbasis.com Basis adalah majalah kebudayaan di Indonesia yang sejauh ini merupakan majalah sejenis yang terpanjang di Indonesia. Terbit perdana pada 1 Oktober 1951, majalah Basis mengusung motto: Jurnalisme Seribu Mata: Basis Menembus Fakta. Banyak pihak mengakui ...
SafaruddinAnggota Dewan Perwakilan RakyatPetahanaMulai menjabat 1 Oktober 2019Daerah pemilihanKalimantan TimurKepala Kepolisian Daerah Kalimantan TimurMasa jabatan3 September 2015 – 5 Januari 2018PendahuluAndayonoPenggantiPriyo WidyantoWakil Kepala Badan Intelijen dan Keamanan PolriMasa jabatan22 Januari 2015 – 3 September 2015PendahuluDjoko Mukti HaryonoPenggantiDjoko PrastowoWakil Kepala Kepolisian Daerah Kalimantan BaratMasa jabatan8 Juni 2010 – 15 Febr...
Obtuse triangle formed by the side and diagonals of a regular heptagon Regular heptagon Longer diagonals Shorter diagonals Each of the fourteen congruent heptagonal triangles has one green side, one blue side, and one red side. In Euclidean geometry, a heptagonal triangle is an obtuse, scalene triangle whose vertices coincide with the first, second, and fourth vertices of a regular heptagon (from an arbitrary starting vertex). Thus its sides coincide with ...
Annual TV industry conference Hispanic Television SummitStatusActiveGenreConferencesFrequencyAnnuallyVenueVariesLocation(s)New York CityCountryUSAYears active20InauguratedSeptember 30, 2003 (2003-09-30)FounderJoe SchrammMost recent2022Attendance400Organised byBroadcasting & Cable, Multichannel News, Schramm Marketing Group (producer)Websitewww.nyctvweek.com/fall/hispanic-tv-summit The Hispanic Television Summit is an annual conference for those in the business of television...
United States historic placeCopper River and Northwestern Railway Bunkhouse and MesshouseU.S. National Register of Historic PlacesAlaska Heritage Resources Survey LocationThird Street, Chitina, AlaskaCoordinates61°30′55″N 144°26′09″W / 61.5153°N 144.43587°W / 61.5153; -144.43587Arealess than one acreBuilt1910 (1910)Built byCopper River & Northwestern RailwayNRHP reference No.02001460[1]AHRS No.VAL-00310Added to NRHPDecember 5...
Katedral Padova Katedral Padova (bahasa Italia: Duomo di Padova; Basilica Cattedrale di Santa Maria Assunta) adalah sebuah basilika minor Katolik Roma dan katedral yang terletak di ujung timur Piazza Duomo, bersebelahan dengan istana Uskup, di Padova, wilayah Veneto, Italia. Katedral, yang dipersembahkan untuk Perawan Maria, adalah tempat kedudukan uskup Padova. Bangunan gereja, yang pertama kali didirikan sebagai kursi uskup keuskupan pada abad ke-4, telah mengalami rekonstruksi besar se...
Anti-Jewish military decree during the American Civil War Not to be confused with General Order No. 11 (1863). General Order No. 11 was a controversial order issued by Union Major-General Ulysses S. Grant on December 17, 1862, during the Vicksburg Campaign, that took place during the American Civil War. The order expelled all Jews from Grant's military district, comprising areas of Tennessee, Mississippi, and Kentucky. Grant issued the order in an effort to reduce Union military corruption, a...
This article is an orphan, as no other articles link to it. Please introduce links to this page from related articles; try the Find link tool for suggestions. (April 2014) Oracle Cloud File System[1] (CloudFS) is a storage management suite developed by Oracle Corporation. CloudFS consists of a cluster file system called ASM Cluster File System (ACFS), and a cluster volume manager called ASM Dynamic Volume Manager (ADVM) initially released in August 2007. Features ACFS[2] is a ...
1992 studio album by UnleashedShadows in the DeepStudio album by UnleashedReleased1992 (1992)GenreDeath metalLength40:15LabelCentury MediaProducerWaldemar SorychtaUnleashed chronology Where No Life Dwells(1991) Shadows in the Deep(1992) Across the Open Sea(1993) Professional ratingsReview scoresSourceRatingAllmusic[1]Metalstorm(9.5/10)[2] Shadows in the Deep is the second album by the Swedish death metal band Unleashed. It was released in 1992 by Century Media Rec...
HwarotHwarotNama KoreaHangul활옷 Hanja闊衣 Alih AksarahwarotMcCune–Reischauerhwarot Hwarot adalah jenis hanbok, yaitu pakaian tradisional Korea, yang dikenakan oleh wanita-wanita dari lingkungan kerajaan untuk merayakan peristiwa tertentu dan juga dipakai oleh wanita dari rakyat biasa untuk upacara pernikahan tradisional Korea. Hwarot berkembang pada zaman Dinasti Goryeo dan Joseon. Hwarot diadaptasi dari jangbaeja 長褙子, pakaian dari Dinasti Ming Tiongkok.[1][2][...
Historical term for northern and central Asia Not to be confused with Strait of Tartary or Tatarstan. Map of independent Tartary (in yellow) and Chinese Tartary (in violet), in 1806. Tartary (Latin: Tartaria; French: Tartarie; German: Tartarei; Russian: Тартария, romanized: Tartariya) or Tatary (Russian: Татария, romanized: Tatariya) was a blanket term used in Western European literature and cartography for a vast part of Asia bounded by the Caspian Sea, the Ural Moun...
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!