Makala hii inahusu mwaka 1984 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 8 Januari - Steven Kanumba, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
- 22 Februari - Shukuru Kilala, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
- 4 Aprili - Kristen Hager, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
- 15 Aprili - Valery Nahayo, mchezaji mpira kutoka Burundi
- 14 Mei - Mark Zuckerberg, mwanzilishi mwenza wa Facebook
- 27 Julai - Neema Decoras, mwimbaji kutoka Tanzania
- 7 Agosti - Yun Hyon-seok, mwandishi kutoka Korea Kusini
- 10 Agosti - Richard Petrus, Mtanzania aliyeshinda katika Big Brother Afrika 2007
- 12 Agosti - Sherone Simpson, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Jamaika
- 4 Oktoba - Kelvin Yondan, mcheza mpira wa Tanzania
- 28 Novemba - Trey Songz, mwanamuziki kutoka Marekani
- 5 Desemba - Lauren London, mwanamuziki kutoka Marekani
- 22 Desemba - Basshunter, mwimbaji, mtayarishaji wa Muziki na DJ wa Uswidi
Waliofariki
- 7 Januari - Alfred Kastler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1966
- 29 Januari - Frances Goodrich, mwandishi kutoka Marekani
- 21 Februari - Mikhail Sholokhov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1965
- 8 Aprili - Pyotr Kapitsa, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1978
- 12 Aprili - Edward Sokoine, Waziri Mkuu wa Tanzania (1977-1980, 1983-1984)
- 26 Aprili - Count Basie, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 7 Julai - George Oppen, mshairi kutoka Marekani
- 14 Oktoba - Martin Ryle, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1974
- 20 Oktoba - Paul Dirac, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1933
- 14 Desemba - Vicente Aleixandre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1977
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: