Frances Goodrich

Frances Goodrich (21 Desemba 189029 Januari 1984) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1956, pamoja na mume wake Albert Hackett, Goodrich alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yao The Diary of Anne Frank.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frances Goodrich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!