1986
Makala hii inahusu mwaka 1986 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 18 Januari - Ropa Garise, mwanamitindo kutoka Zimbabwe
- 11 Machi - Evans Wadongo, mhandisi wa Kenya
- 13 Machi - Nina Sky, wanamuziki mapacha kutoka Marekani
- 28 Machi - Lady Gaga, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1 Julai - Agnez Mo, mwimbaji kutoka Indonesia
- 7 Agosti - Nancy Sumari, mrembo wa Tanzania, mwaka wa 2005
- 21 Agosti - Usain Bolt, mwanariadha kutoka Jamaika
- 26 Septemba - Brooke Allison, mwimbaji kutoka Marekani
- 24 Oktoba - Aubrey Drake Graham, mwanamuziki kutoka Kanada
- 10 Novemba - Samuel Wanjiru, mwanariadha kutoka Kenya
- 26 Novemba - Ali Kiba, mwanamuziki kutoka Tanzania
bila tarehe
Waliofariki
- 10 Januari - Jaroslav Seifert, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1984
- 28 Januari - Gregory Jarvis, Christa McAuliffe, Ronald McNair, Ellison Onizuka, Judith Resnik, Dick Scobee, Michael J. Smith
- 18 Machi - Bernard Malamud, mwandishi kutoka Marekani
- 17 Aprili – Bessie Head, mwandishi wa Afrika Kusini na Botswana
- 9 Mei - Tenzing Norgay, mpelelezi kutoka Nepal
- 31 Mei - James Rainwater, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975
- 13 Juni - Benny Goodman, mwanamuziki kutoka Marekani
- 14 Juni - Jorge Luis Borges, mwandishi kutoka Argentina
- 24 Julai - Fritz Lipmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953
- 25 Septemba - Nikolay Semyonov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1956
- 22 Oktoba - Albert Szent-Györgyi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1937
- 23 Oktoba - Edward Doisy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1943
- 31 Oktoba - Robert Mulliken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1966
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|