1943
Makala hii inahusu mwaka 1943 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 14 Januari - Ralph Steinman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2011
- 9 Februari - Squire Fridell, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 19 Februari - Timothy Hunt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2001
- 25 Februari - George Harrison, mwanamuziki Mwingereza
- 2 Machi - Jeremiah Solomon Sumari, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 19 Machi - Mario Molina, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1995
- 15 Aprili - Robert Lefkowitz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2012
- 22 Aprili - Louise Glück, mshairi kutoka Marekani
- 6 Juni - Richard Smalley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1996
- 28 Juni - Klaus von Klitzing, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1985
- 3 Agosti - Steven Millhauser, mwandishi kutoka Marekani
- 15 Agosti - Barbara Bouchet, mwigizaji filamu wa Italia
- 29 Agosti - Arthur B. McDonald, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2015
- 29 Agosti - Mohamed Amin, mpiga picha kutoka Kenya
- 6 Septemba - Richard Roberts, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1993
- 16 Septemba - James Alan McPherson, mwandishi kutoka Marekani
- 20 Septemba - Sani Abacha, Rais wa 10 wa Nigeria (1993-1998)
- 24 Septemba - Randall Duk Kim, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 30 Septemba - Johann Deisenhofer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1988
- 24 Oktoba - Joseph James Mungai, mwanasiasa wa Tanzania
- 27 Oktoba - George Cain, mwandishi wa Marekani
- 5 Novemba - Sam Shepard, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1979
- 26 Novemba - Marilynne Robinson, mwandishi kutoka Marekani
- 8 Desemba - Jim Morrison, mwanamuziki wa Marekani
- 8 Desemba - James Tate, mshairi wa Marekani
- 11 Desemba - John Kerry, mwanasiasa kutoka Marekani
- 27 Desemba - Joan Manuel Serrat, mwimbaji kutoka Hispania
bila tarehe
Waliofariki
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|