28 Juni

Mei - Juni - Jul
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 28 Juni ni siku ya 179 ya mwaka (ya 180 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 186.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za Mtakatifu Ireneo, Plutarko, Potamiena na wenzao, Papa Paulo I, Argimiro, Heimo, Yohane Southworth, Vinchensya Gerosa, Lusia Wang Cheng, Maria Fan Kun, Maria Qi Yu, Maria Zheng Xu, Maria Du Zhauzhi n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 28 Juni kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!