Makala hii inahusu mwaka 1927 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 13 Januari - Sydney Brenner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2002
- 1 Februari - Galway Kinnell, mshairi kutoka Marekani
- 12 Machi - Raúl Alfonsín, rais wa Argentina (1983-1989)
- 29 Machi - John Vane, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
- 7 Aprili - Babatunde Olatunji, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 10 Aprili - Marshall Nirenberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1968
- 14 Aprili - Alan MacDiarmid, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2000
- 20 Aprili - Karl Alexander Müller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1987
- 9 Mei - Manfred Eigen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1967
- 22 Mei - George Olah, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1994
- 24 Juni - Martin Perl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995
- 28 Juni - Sherwood Rowland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1995
- 28 Julai - John Ashbery, mshairi kutoka Marekani
- 30 Septemba- William S. Merwin, mshairi kutoka Marekani
- 8 Oktoba - César Milstein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984
- 14 Oktoba - Roger Moore, mwigizaji filamu kutoka Uingereza
- 16 Oktoba - Gunter Grass, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1999
- 13 Desemba - James Wright, mshairi kutoka Marekani
bila tarehe
Waliofariki
Wikimedia Commons ina media kuhusu: