Makala hii inahusu mwaka 1931 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 20 Januari - David Lee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1996
- 1 Februari - Boris Yeltsin, Rais wa Urusi (1991-1999)
- 18 Februari - Toni Morrison, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1993
- 22 Machi - Burton Richter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1976
- 26 Mei - Sven Delblanc, mwandishi kutoka Uswidi
- 31 Mei - Robert Schrieffer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1972
- 3 Juni - Raul Castro, rais wa nchi ya Kuba (tangu 2006)
- 15 Agosti - Richard Heck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 2010
- 19 Agosti - Marianne Koch, mwigizaji wa filamu kutoka Ujerumani
- 23 Agosti - Hamilton Smith, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1978
- Septemba - Amedeus Msarikie, askofu Mkatoliki kutoka Tanzania
- 19 Septemba - Brook Benton, mwanamuziki kutoka Marekani
- 29 Septemba - James Cronin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1980
- 7 Oktoba - Askofu Desmond Tutu
- 4 Novemba - Cleopa David Msuya, Waziri Mkuu wa Tanzania (1980-83 na 1994-95)
- 15 Novemba - Mwai Kibaki, Rais wa tatu wa Kenya
- 25 Desemba - Raphael S. Ndingi Mwana a'Nzeki aliyekuwa askofu mkuu wa Nairobi wa kanisa katoliki
bila tarehe
Waliofariki
Wikimedia Commons ina media kuhusu: