1926
Makala hii inahusu mwaka 1926 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 5 Januari - W. D. Snodgrass, mshairi kutoka Marekani
- 29 Januari - Abdus Salam, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979
- 27 Februari - David Hubel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 3 Machi - James Merrill, mshairi kutoka Marekani
- 24 Machi - Dario Fo, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1997
- 21 Aprili - Elizabeth II, Malkia wa Uingereza
- 28 Aprili - Harper Lee, mwandishi kutoka Marekani
- 25 Mei - Miles Davis, mwanamuziki kutoka Marekani
- 27 Mei - Rashidi Kawawa, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1 Juni - Marilyn Monroe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 19 Juni - Antoni Gaudi, msanifu majengo wa Hispania
- 30 Juni - Paul Berg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1980
- 9 Julai - Ben Mottelson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975
- 16 Julai - Irwin Rose, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2004
- 11 Agosti - Aaron Klug, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1982
- 13 Agosti - Fidel Castro, Rais wa Kuba
- 3 Septemba - Alison Lurie, mwandishi kutoka Marekani
- 21 Septemba - Donald A. Glaser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1960
- 23 Septemba - John Coltrane, mwanamuziki kutoka Marekani
- 18 Oktoba - Klaus Kinski, mwigizaji filamu kutoka Ujerumani
- 25 Novemba - Tsung-Dao Lee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1957
- 30 Novemba - Andrew Schally, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1977
- 9 Desemba - Henry Kendall, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1990
bila tarehe
Waliofariki
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
|