Makala hii inahusu mwaka 1908 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 22 Januari - Lev Landau, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1962
- 4 Aprili - Frances Ford Seymour, mke wa pili wa Henry Fonda
- 20 Aprili - Lionel Hampton, mwanamuziki kutoka Marekani
- 24 Aprili - George Oppen, mshairi kutoka Marekani
- 23 Mei - John Bardeen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia miaka ya 1956 na 1972
- 25 Mei – Theodore Roethke, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954
- 30 Mei - Hannes Alfven, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970
- 8 Julai - Nelson Rockefeller, Kaimu Rais wa Marekani
- 6 Agosti - Will Lee, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 27 Agosti - Lyndon B. Johnson, Rais wa Marekani (1963-69)
- 31 Agosti - William Saroyan, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1940, aliyoikataa
- 23 Oktoba - Ilya Frank, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958
- 13 Novemba – Comer Vann Woodward, mwanahistoria wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1982
- 4 Desemba - Alfred Hershey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 17 Desemba - Willard Libby, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1960
Waliofariki
Wikimedia Commons ina media kuhusu: