Makala hii inahusu mwaka 1913 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 9 Januari - Richard Nixon, Rais wa Marekani (1969-74)
- 4 Februari - Rosa Parks, mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi
- 3 Aprili - Per Borten, mwanasiasa wa Norwei
- 3 Mei - William Inge, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954
- 3 Juni - Jack Cope, mwandishi wa Afrika Kusini
- 25 Juni - Aime Cesaire, mwandishi kutoka Martinique
- 12 Julai - Willis Lamb, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1955
- 14 Julai - Gerald Ford, Rais wa Marekani (1974-77)
- 10 Agosti - Wolfgang Paul, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa [[1989]
- 20 Agosti - Roger Sperry, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 4 Septemba - Stanford Moore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 10 Oktoba - Claude Simon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1985
- 25 Oktoba - Klaus Barbie, mwanajeshi wa SS ya Adolf Hitler
- 7 Novemba - Albert Camus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1957
- 10 Novemba - Karl Shapiro, mshairi kutoka Marekani
- 18 Desemba - Willy Brandt, Chansela wa Ujerumani (1969-1974)
Waliofariki
Wikimedia Commons ina media kuhusu: