Tarehe 4 Februari ni siku ya thelathini na tano ya mwaka . Ni katikati ya majirabaridi kaskazini kwa ikweta na ya majirajoto kusini kwake. Mpaka mwaka uishe zinabaki siku 330 (331 katika miaka mirefu).
Matukio
Waliozaliwa
1887 - Iyasu V , mfalme mkuu wa Uhabeshi
1897 - Ludwig Erhard , Chansela wa Ujerumani (1963 -1966 )
1904 - MacKinlay Kantor , mwandishi kutoka Marekani
1906 - Dietrich Bonhoeffer , mwanateolojia nchini Ujerumani
1913 - Rosa Parks , mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Marekani
1923 - Conrad Bain , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
1947 - Dan Quayle , Kaimu Rais wa Marekani
1970 - Simon Pegg , mwigizaji wa filamu kutoka Uingereza
1971 - Eric Garcetti
1975 - Natalie Imbruglia , mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Australia
1978 - Danna Garcia , mwigizaji filamu kutoka Kolombia
1989 - Donald Ndombo Ngoma , mchezaji mpira nchini Tanzania
Waliofariki
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Eutiki wa Roma , Papia, Theodori na Klaudiani , Fileas na Filoromus , Isidori wa Pelusio , Aventino wa Chartres , Aventino wa Troyes , Rabanus Maurus , Nikola wa Studion , Gilberti wa Sempringham , Yoana wa Valois , Yosefu wa Leonesa , Yohane wa Brito n.k.
Viungo vya nje
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu 4 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .