Tarehe 22 Februari ni siku ya hamsini na tatu ya mwaka . Mpaka uishe zinabaki siku 312 (313 katika miaka mirefu).
Matukio
Waliozaliwa
1732 - George Washington , Rais wa kwanza wa Marekani
1788 - Arthur Schopenhauer , mwanafalsafa wa Ujerumani
1810 - Frédéric Chopin , mtunzi wa muziki kutoka Poland
1863 - Charles McLean Andrews , mwanahistoria kutoka Marekani
1892 - Edna St. Vincent Millay , mshairi wa kike kutoka Marekani
1914 - Renato Dulbecco , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1975
1921 - Jean Bedel Bokassa , Rais (1966 -1976 ) na Kaisari (1976-1979 ) wa Jamhuri ya Afrika ya Kati
1936 - Michael Bishop , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1989
1952 - Kipkalya Kones , mwanasiasa wa Kenya
1953 - Viktor Kozin , mhandisi wa meli kutoka Urusi
1962 - Steve Irwin
1984 - Shukuru Kilala , muigizaji wa filamu kutoka Tanzania
Waliofariki
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha sikukuu ya Ukulu wa Mt. Petro , lakini pia kumbukumbu za watakatifu Papia wa Yerapoli , Paskasi wa Vienne , Masimiano wa Ravenna , Margerita wa Cortona n.k.
Viungo vya nje
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu 22 Februari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .