Makala hii inahusu mwaka 1963 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 4 Januari - May-Britt Moser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014
- 17 Februari - Larry Whitney, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 27 Machi
- 24 Mei - Michael Chabon, mwandishi kutoka Marekani
- 9 Juni - Johnny Depp, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 27 Julai - Donnie Yen, mwigizaji filamu kutoka Uchina
- 1 Agosti - Coolio, mwanamuziki kutoka Marekani
- 9 Agosti - Whitney Houston, mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 25 Septemba - Tate Donovan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 25 Septemba - Keely Shaye Smith, mwandishi wa habari kutoka Marekani, na mke wa Pierce Brosnan
- 11 Desemba - Mario Been, kocha wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi
- 13 Desemba - Yono Stanley Jilaoneka Kevela, mwanasiasa wa Tanzania
- 23 Desemba - Donna Tartt, mwandishi kutoka Marekani
bila tarehe
Waliofariki
- 29 Januari - Robert Frost, mshairi kutoka Marekani
- 4 Februari - Fred Albert Shannon, mwanahistoria kutoka Marekani
- 11 Februari - Sylvia Plath, mshairi wa Marekani
- 4 Machi - William Carlos Williams, mwandishi wa Marekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1963
- 2 Mei - Van Wyck Brooks, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1 Agosti – Theodore Roethke, mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954
- 2 Agosti - Oliver La Farge, mwandishi kutoka Marekani
- 11 Oktoba - Édith Piaf, mwimbaji wa kike kutoka Ufaransa
- 22 Novemba - John F. Kennedy, Rais wa Marekani, aliuawa.
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: