Tarehe 11 Desemba ni siku ya 345 ya mwaka (ya 346 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 20.
Matukio
Waliozaliwa
1475 - Papa Leo X
1803 - Hector Berlioz , mtunzi wa opera kutoka Ufaransa
1843 - Robert Koch , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1905
1882 - Max Born , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1954
1911 - Nagib Mahfuz , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1988
1918 - Aleksandr Solzhenitsyn , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1970
1925 - Paul Greengard , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2000
1943 - John Kerry , mwanasiasa kutoka Marekani
1957 - Antonio Napolioni , askofu Mkatoliki nchini Italia
1963 - Mario Been , kocha wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi
1967 - DJ Yella , mwanamuziki wa Marekani
1973 - Mos Def , mwanamuziki wa Marekani
1981 - Mohamed Zidan , mchezaji mpira kutoka Misri
Waliofariki
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Damaso I , Vitoriko na Fushano , Sabino wa Piacenza , Danieli wa Mnarani , Maria Maajabu wa Yesu n.k.
Viungo vya nje
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu 11 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .