Makala hii inahusu mwaka 1938 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 5 Januari - Ngugi wa Thiongo, mwandishi Mkenya
- 25 Januari - Vladimir Vysotsky, msanii kutoka Urusi
- 28 Januari - Tomas Lindahl, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2015
- 1 Februari - Sherman Hemsley, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 7 Machi - David Baltimore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975
- 18 Machi - Charley Frank Pride, mwanamuziki kutoka Marekani
- 8 Aprili - Kofi Annan, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa hadi 2006
- 15 Aprili - Claudia Cardinale, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 9 Mei - Charles Simic, mshairi kutoka Marekani
- 29 Julai - Enzo G. Castellari, mwongozaji wa filamu kutoka Italia
- 2 Septemba - Giuliano Gemma, mwigizaji filamu kutoka Italia
- 3 Septemba - Ryoji Noyori, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2001
- 4 Oktoba - Kurt Wüthrich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 15 Oktoba - Fela Kuti, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 12 Novemba - Benjamin Mkapa, Rais wa tatu wa Tanzania
bila tarehe
Waliofariki
Wikimedia Commons ina media kuhusu: