Tarehe 15 Aprili ni siku ya 105 ya mwaka (ya 106 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 260.
Matukio
Waliozaliwa
1452 - Leonardo da Vinci , mchoraji na mwanasayansi kutoka Italia
1707 - Leonhard Euler , mwanahisabati kutoka Uswisi
1797 - Mtakatifu Mikaeli Garicoits , padri kutoka Ufaransa
1874 - Johannes Stark , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1919
1896 - Nikolay Semyonov , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1956
1907 - Nikolaas Tinbergen , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973
1938 - Claudia Cardinale , mwigizaji filamu kutoka Italia
1943 - Robert Lefkowitz , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2012
1961 - Carol Greider , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2009
1966 - Samantha Fox
1982 - Seth Rogen , mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
1984 - Valery Nahayo , mchezaji mpira kutoka Burundi
1990 - Emma Watson
Waliofariki
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Theodori na Pausilipi , Kresenti wa Myra , Maroni mfiadini , Abondi wa Roma , Paternus , Ortari , Kaisari wa Bus , Damiani wa Molokai n.k.
Viungo vya nje
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu 15 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .