Makala hii inahusu mwaka 2009 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
Waliofariki
- 12 Januari - Susanne Wenger, msanii kutoka Austria na kuhani wa Wayoruba nchini Nigeria
- 13 Januari - W. D. Snodgrass, mshairi kutoka Marekani
- 27 Januari - John Updike, mwandishi kutoka Marekani
- 30 Januari - Chedieli Yohane Mgonja, mwanasiasa wa Tanzania
- 28 Machi - Maurice Jarre, mwanamuziki kutoka Ufaransa
- 31 Machi - Raúl Alfonsín, rais wa Argentina (1983-1989)
- 21 Aprili - Santha Rama Rau, mwandishi kutoka Uhindi
- 24 Aprili - Phares Kashemeza Kabuye, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 19 Mei - Robert Furchgott, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1998
- 8 Juni - Omar Bongo, Rais wa Gabon (1967-2009)
- 25 Juni - Michael Jackson, mwimbaji kutoka Marekani
- 28 Juni - Billy Mays, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1 Agosti - Corazon Aquino, Rais mwanamke wa Ufilipino (1986-1992)
- 18 Agosti - Kim Tae Jung, Rais wa Korea Kusini (1998-2003)
- 14 Septemba - Patrick Swayze, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 8 Novemba - Vitali Ginzburg, mwanafizikia kutoka Urusi, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2003
- 20 Desemba - Brittany Murphy, mwigizaji na mwimbaji kutoka Marekani
- 21 Desemba - Edwin Krebs, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1992
- 26 Desemba - Dennis Brutus, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 30 Desemba - George Miok, mwanajeshi wa Kanada
- 31 Desemba - Rashidi Kawawa, mwanasiasa kutoka Tanzania
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: