Tarehe 8 Juni ni siku ya 159 ya mwaka (ya 160 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 206.
Matukio
Waliozaliwa
1810 - Robert Schumann , mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
1867 - Frank Lloyd Wright , msanifu majengo kutoka Marekani
1903 - Marguerite Yourcenar , mwandishi na mshairi kutoka Ubelgiji
1916 - Francis Crick , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
1933 - Joan Rivers , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
1936 - Kenneth Wilson , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1982
1947 - Eric Wieschaus , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1995
1950 - Teddy Louise Kasela-Bantu , mwanasiasa kutoka Tanzania
1965 - Giovanni Cesare Pagazzi , askofu mkuu Mkatoliki nchini Italia
1975 - Michael Buckley , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
1977 - Kanye West , mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Masimino wa Aix , Gildadi , Medadi , Fortunato wa Fano , Klodolfi , Wiliamu wa York , Yakobo Berthieu , Maria Teresa Chiramel n.k.
Viungo vya nje
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu 8 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .