Tarehe 24 Juni ni siku ya 175 ya mwaka (ya 176 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 190.
Matukio
Waliozaliwa
1386 - Mtakatifu Yohane wa Kapestrano , padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
1883 - Victor Hess , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1936
1893 - Jan Matejko , mchoraji kutoka Poland
1927 - Martin Perl , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1995
1936 - Paul L. Smith , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
1953 - William Moerner , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2014
1953 - Aloyce Bent Kimaro , mwanasiasa wa Tanzania
1960 - Siedah Garrett , mwanamuziki kutoka Marekani
1977 - Amir Talai , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
1983 - John Lloyd Cruz , mwigizaji wa filamu kutoka Ufilipino
1987 - Lionel Messi , mchezaji wa mpira kutoka Argentina
Waliofariki
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha sherehe ya kuzaliwa mtakatifu Yohane Mbatizaji , lakini pia kumbukumbu za watakatifu Yohane na Festo , Simplisi wa Autun , Agoardi na wenzake , Rumoldi wa Mechelen , Teodolfi , Goardo na wenzake , Theodgari , Yosefu Yuan Zaide , Maria Guadalupe Garcia n.k.
Viungo vya nje
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu 24 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .