Mwaka wa 2008 umetangazwa kuwa Mwaka wa Lugha wa Kimataifa.
Matukio
Waliozaliwa
Waliofariki
- 1 Januari - Lucas Sang, mwanariadha wa Kenya
- 11 Januari - Edmund Hillary, mpelelezi kutoka New Zealand na mtu wa kwanza kufika kileleni Mount Everest
- 27 Januari - Suharto, Rais wa pili wa Indonesia (1967-1998)
- 17 Aprili - Aime Cesaire, mwandishi kutoka Martinique
- 15 Mei - Willis Lamb, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1955
- 26 Mei - Sydney Pollack, mwigizaji na mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 1 Juni - Yves Saint Laurent, msanii wa nguo kutoka Ufaransa
- 10 Juni - Kipkalya Kones, mwanasiasa wa Kenya
- 10 Juni - Lorna Laboso, mwanasiasa wa Kenya
- 15 Juni - Stan Winston, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 19 Juni - Noni Jabavu, mwandishi wa Afrika Kusini
- 23 Juni - Arthur Chung, Rais wa Guyana (1970-1980)
- 3 Julai - Levy Mwanawasa, Rais wa tatu wa Zambia (2001-2008)
- 27 Julai - Chacha Zakayo Wangwe, mwanasiasa wa Tanzania
- 28 Julai - Wendo Kolosoy, mwanamuziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 3 Agosti - Aleksandr Solzhenitsyn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1970)
- 24 Agosti - Tad Mosel, mwandishi kutoka Marekani
- 26 Septemba - Paul Newman, mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani
- 27 Oktoba - Ezekiel Mphahlele, mwandishi kutoka Afrika Kusini
- 10 Novemba - Miriam Makeba, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini
- 29 Novemba - Jørn Utzon, msanifu majengo kutoka Denmark
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: