26 Septemba

Ago - Septemba - Okt
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 26 Septemba ni siku ya 269 ya mwaka (ya 270 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 96.

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Kosma na Damiano,Gideoni, Senatori wa Albano, Eusebi wa Bologna, Stefano wa Rossano, Nilo wa Rossano, Sebastiani Nam Igwan na wenzake, Lusia Kim Kopchu na wenzake, Tereza Couderc n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 26 Septemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!