Makala hii inahusu mwaka 1949 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
- 23 Mei - Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani (mji mkuu Bonn) na
- 7 Oktoba - Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani (mji mkuu Berlin ya Mashariki)
Waliozaliwa
- 22 Januari - Joseph Hill, mwimbaji kutoka Jamaika
- 25 Januari - Paul Nurse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2001
- 30 Januari - Peter Agre, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2003
- 4 Machi - Hans van der Pluijm, meneja wa Yanga Sc nchini Tanzania
- 6 Machi - Benn Haidari, mpishi wa kiZanzibar nchini Ufini
- 19 Machi - Valery Leontiev, mwanamuziki na mwimbaji kutoka Urusi
- 6 Aprili - Horst Störmer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1998
- 26 Mei - Ward Cunningham, mgunduzi wa wiki kutoka Marekani
- 15 Juni - Jim Varney, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- Julai - Norbert Zongo, mhariri wa gazeti nchini Burkina Faso
- 7 Julai - Shelley Duvall, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 15 Julai - Anna Semamba Makinda, mwanasiasa wa Tanzania
- 15 Julai - Richard Russo, mwandishi kutoka Marekani
- 12 Septemba - Jeremy Cronin, mwandishi wa Afrika Kusini
- 23 Septemba - Bruce Springsteen, mwanamuziki kutoka Marekani
- 26 Septemba - Jane Smiley, mwandishi kutoka Marekani
- 6 Oktoba - Bobby Farrell, mwimbaji wa Kijerumani kutoka Aruba
- 16 Desemba - Kilontsi Mbebhaghu M. Mporogomyi, mwanasiasa wa Tanzania
- 21 Desemba - Thomas Sankara, Rais wa Burkina Faso (1983-1987)
bila tarehe
Waliofariki
- 30 Machi - Friedrich Bergius, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1931
- 5 Mei - Maurice Maeterlinck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1911
- 18 Mei - James Truslow Adams, mwanahistoria kutoka Marekani
- 10 Juni - Sigrid Undset, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1928
- 16 Agosti - Margaret Mitchell, mwandishi kutoka Marekani
- 8 Septemba - Richard Strauss, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 13 Septemba - August Krogh, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1920
Wikimedia Commons ina media kuhusu: