Raúl Ricardo Alfonsín Foulkes (12 Machi, 1927 – 31 Machi, 2009) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya Argentina. Kuanzia 1983 hadi 1989 alikuwa rais wa Argentina.