Tarehe 18 Machi ni siku ya 77 ya mwaka (ya 78 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 288.
Matukio
Waliozaliwa
1782 - John C. Calhoun , Kaimu Rais wa Marekani (1825 -1832 )
1837 - Grover Cleveland , Rais wa Marekani (1885 -1889 ; 1893 -1897 )
1838 - Randal Cremer , Mwingereza kiongozi wa chama cha wafanyakazi , na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani , mwaka wa 1903
1844 - Nikolai Rimsky-Korsakov , mtunzi wa muziki kutoka Urusi
1892 - Robert P. T. Coffin , mshairi kutoka Marekani
1932 - John Updike , mwandishi kutoka Marekani
1938 - Charley Frank Pride , mwanamuziki kutoka Marekani
1950 - Brad Dourif , mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
1953 - Franz Wright , mshairi kutoka Marekani
1954 - John Damiano Komba , mwanasiasa kutoka Tanzania
1978 - Halima James Mdee , mbunge Mtanzania
1987 - Selemani Ndikumana , mchezaji mpira wa Kibelgiji kutoka Burundi
Waliofariki
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sirili wa Yerusalemu , Aleksanda wa Yerusalemu , Frediani , Leobardi , Brauli , Edwadi wa Anglia , Anselmi wa Lucca , Salvatore wa Horta n.k.
Viungo vya nje
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu 18 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .