Odysseas Elytis mnamo tarehe 2 Novemba1911 mpaka tarehe 18 Machi1996 alikuwa mshairi, na mtafsiri kutoka nchi ya Ugiriki. Jina lake la kuzaliwa ni Odysseas Alepoudhelis.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Odysseas Elytis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.