Makala hii inahusu mwaka 1932 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
- 6 Februari - Simeon Nyachae, mwanasiasa kutoka Kenya
- 26 Februari - Johnny Cash, mwanamuziki kutoka Marekani
- 4 Machi - Miriam Makeba, mwanamuziki kutoka Afrika Kusini
- 18 Machi - John Updike, mwandishi kutoka Marekani
- 31 Machi - Walter Gilbert, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1980
- 26 Aprili - Michael Smith, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1993
- 11 Juni - Athol Fugard, mwandishi wa Afrika Kusini
- 18 Juni - Dudley Herschbach, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1986
- 2 Agosti - Peter O'Toole, mwigizaji wa filamu kutoka Eire
- 17 Agosti - Vidiadhar Naipaul, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2001
- 17 Agosti - Abebe Bikila, mwanariadha Mhabeshi)
- 18 Agosti - Luc Montagnier, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2008
- 24 Oktoba - Pierre de Gennes, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1991
- 27 Oktoba - Sylvia Plath, mshairi wa Marekani
- 2 Novemba - Melvin Schwartz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1988
- 5 Desemba - Sheldon Glashow, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979
Waliofariki
Wikimedia Commons ina media kuhusu: