Tarehe 4 Oktoba ni siku ya 277 ya mwaka (ya 278 katika miaka mirefu). Zinabaki siku 88 mpaka mwaka uishe.
Matukio
Waliozaliwa
1542 - Mtakatifu Roberto Bellarmino , askofu na mwalimu wa Kanisa kutoka Italia
1822 - Rutherford B. Hayes , Rais wa Marekani (1877 -1881 )
1839 - Mtakatifu Fransisko Fogolla , O.F.M. , askofu Mkatoliki kutoka Italia na mmisionari mfiadini nchini Uchina
1916 - Vitali Ginzburg , mwanafizikia kutoka Urusi , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2003
1917 - Violeta Parra , mwimbaji na mwanasiasa wa Chile
1918 - Kenichi Fukui , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981
1938 - Kurt Wüthrich , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
1941 - Anne Rice , mwandishi wa kike kutoka Marekani
1961 - Salim Abdalla Khalfan , mwanasiasa kutoka Tanzania
1962 - Ruth Blasio Msafiri , mwanasiasa wa Tanzania
1984 - Kelvin Yondan , mcheza mpira wa Tanzania
Waliofariki
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Fransisko wa Asizi , Petroni wa Bologna , Kwintini wa Tours , Aurea wa Paris n.k.
Viungo vya nje
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu 4 Oktoba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .