Ruth Blasio Msafiri (amezaliwa 4 Oktoba 1962) alikuwa mbunge wa jimbo la Muleba Kaskazini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania kwa miaka kumi.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Mwaka 2015 aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Kibondo iliyopo Kigoma na 2016 alihamishiwa Njombe kuwa mkuu wa wilaya ambapo alikaa kwenye cheo hicho kwa miaka mitano na kustaafu 2021.
Tazama pia
Marejeo