Hector Berlioz (11 Desemba1803 - 8 Machi1869katika jiji la Paris) alikuwa mtunzi maarufu wa opera kutoka nchini Ufaransa. Alikuwa moja kati ya watunzi wakubwa wa opera wa karne ya 19. Miziki yake pia ilikuwa ya kipindi maarufu cha kukaribisha karne mpya, yaani karne ya 18 kwenda 19 au kwa jina lililo maarufu ni Romantic period.
Viungo vya nje
The Hector Berlioz Website Comprehensive Berlioz reference site, including scores, analysis and libretti
Festival BerliozIlihifadhiwa 19 Machi 2008 kwenye Wayback Machine. Held in the birthplace of the famous classical composer Hector Berlioz, this festival commemorates the man and his work
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hector Berlioz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!