Muziki wake ulikuwa wa mwundo wa kikwao yaani, Ucheki. Alitunga opera nane zenye kuelezea haditihi za utaifa wa watu wa Cheki. Pia alitunga nyimbo sita ambazo zilikuwa zikisifia nchi yake, moja kati ya nyimbo hizo ni Ma Vlast ambayo inamaana ya “Nchini Kwangu”.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bedřich Smetana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.