Tarehe 25 Mei ni siku ya 145 ya mwaka (ya 146 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 220.
Matukio
Waliozaliwa
1865 - Pieter Zeeman , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902
1865 - John Mott , mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1946
1887 - Mtakatifu Pio wa Pietrelcina , padri wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia
1908 - Theodore Roethke , mshairi kutoka Marekani
1925 - Shehu Shagari , Rais wa Nigeria (1979 -1983 )
1926 - Miles Davis , mwanamuziki kutoka Marekani
1933 - Patrick Cullinan , mwandishi wa Afrika Kusini
1956 - Rajab Hamad Juma , mwanasiasa kutoka Tanzania
1959 - Abdul Jabir Marombwa , mbunge wa Tanzania
1961 - Abdulkarim Esmail Hassan Shah , mbunge wa Tanzania
1975 - Lauryn Hill , mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
Sikukuu
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma , huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Beda , Papa Gregori VII , Maria Magdalena wa Pazzi , Kanio wa Atella , Denisi wa Milano , Zenobi wa Firenze , Leo wa Mantenay , Aldelmo , Genadi wa Astorga , Jerio , Petro Doan Van Van , Magdalena Sofia Barat , Dionisi Ssebuggwawo , Maria Alfonsina Danil , Augustino Caloca n.k.
Viungo vya nje
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu . Je, unajua kitu kuhusu 25 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .