Tarehe 6 Mei ni siku ya 126 ya mwaka (ya 127 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 239.
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Lukio wa Kurene, Mariano, Yakobo na wenzao, Veneri wa Milano, Benedikta wa Roma, Edbati, Petro Nolasco, Fransisko wa Laval n.k.