Makala hii inahusu mwaka 1994 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
Waliozaliwa
Waliofariki
- 20 Januari - Jaramogi Oginga Odinga, mwanasiasa kutoka Kenya
- 9 Februari - Howard Temin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975
- 17 Aprili - Roger Sperry, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 22 Aprili - Richard Nixon, Rais wa Marekani (1969-1974)
- 16 Julai - Julian Schwinger, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1965
- 23 Julai - Mario Brega, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 29 Julai - Dorothy Hodgkin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1964
- 14 Agosti - Elias Canetti, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1981
- 18 Agosti - R.L.M. Synge, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952
- 19 Agosti - Linus Pauling, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1954, na wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1962
- 30 Septemba - André Lwoff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 7 Oktoba - Niels Jerne, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1984
- 2 Novemba - Peter Taylor, mwandishi kutoka Marekani
Viungo vya nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu: