Ashbery ameandika zaidi ya diwani za mashairi zipatazo ishirini ambazo zimechapishwa na kushinda tuzo mbalimbali kubwa za American award for poetry, ikiwemo tuzo ya Pulitzer Prize aloipata mwaka 1976. Alitambulika pia kwa msukumo wake wa mashairi ya kimalumbano,
Ashbery alikuwa anatamani kuona kazi zake zikikubalika na watu wengi iwezekanavyo na si ibaki kazi yake peke yake.[1]
↑"Robert Creeley Award". robertcreeleyfoundation.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-12-04. Iliwekwa mnamo Machi 19, 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Ashbery kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!