Kwa binadamu ni hali ya ukamilifu katika kuepukana na dhambi, na hivyo kuwa karibu na Mungu.
Katika Biblia
Neno la KiebraniaQadosh linamhusu kwa namna ya pekee Mungu katika ukuu wake usioweza hata kufafanishwa na ule wa viumbe vyake bora[1] na unaodai yale yanayomhusu yasichanganywe na matumizi mengine[2].
↑Botterweck, G. Johannes; Ringgren, Helmer; Fabry, Heinz-Josef (1974), Theological Dictionary of the Old Testament, Wm. B. Eerdmans Publishing, uk. 525, ISBN0-8028-2336-XKigezo:Refimprove inline
Becking, Bob; Dijkstra, Meindert; Vriezen, Karel J. H. (2001), Only One God?: Monotheism in Ancient Israel and the Veneration of the Goddess Asherah, Continuum International Publishing Group, ISBN1-84127-199-3
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!