Stabat Mater ni sekwensya maarufu iliyotungwa katika karne ya 13 na inayotumika kati ya masomo ya Misa siku ya Bikira Maria wa Mateso, tarehe 15 Septemba.
Jina hilo la Kilatini linamaanisha "Mama alikuwa amesimama" na linafikirisha mateso ya Bikira Maria aliposimama chini ya Msalaba wa Yesu kadiri ya Injili ya Yohane 19:25.
Watunzi wengi wa muziki walitia nota utenzi huo, kama vile:
Picha
Tanbihi
Viungo vya nje
|
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stabat Mater kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|