Funguvisiwa la Malta lina visiwa saba. Visiwa vikubwa viwili ni Malta (km² 246) na Gozo (km² 70). Kuna kisiwa cha tatu kinachokaliwa na watu, ndicho Comino (km² 3). Vingine ni vidogo, havina watu. Jumla la eneo ni km² 316.
Visiwa vya Malta ni mabaki ya kanda la nchi kavu lililokuwa linaunganisha Afrika na Ulaya na lililokatwa na kupanda kwa usawa wa bahari tangu mwaka11000 KK hivi.
Kwa jumla kuna wakazi 404,039: wa kiume 200,715 (49.7%) na wa kike 203,324 (50.3%). Msongamano wa watu ni 1,282 kwa kilomita ya mraba ambao ni msongamano mkubwa kati ya nchi zote za Ulaya. Katika karne ya 21 nchi imepokwa wahamiaji wengi, ambao kwa sasa ni 23.17% za wakazi wote.
Lugha rasmi ya pili ni Kiingereza kutokana na miaka 150 ya ukoloni wa Uingereza. Wamalta wengi sana (66%) huelewa pia lugha ya nchi kubwa jirani, Italia.
"Map of Malta and Gozo". Street Map of Malta and Gozo. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-16. Iliwekwa mnamo 10 Aprili 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
"Malta". CIA World Factbook. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-10-16. Iliwekwa mnamo 6 Septemba 2006. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
"Gov.mt". Government of Malta. Iliwekwa mnamo 1 Novemba 2005.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Jones, H. Bowen; na wenz. (1962). Malta Background for Development. Dhurham College. OCLC204863. {{cite book}}: Explicit use of et al. in: |author2= (help)
Paul Williams (2009). Malta – Island Under Siege. Pen and Sword Books. ISBN978-1-84884-012-6. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-04-05. Iliwekwa mnamo 2014-11-11. {{cite book}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
Charles Mifsud, The Climatological History of The Maltese Islands, Minerva 1984
Migration MaltaArchived 6 Aprili 2011 at the Wayback Machine. – An information source on immigration and Malta (scholarly articles, policy documents, press releases etc.)
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Malta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.