Dini rasmi

Dini rasmi ni dini ambayo imetangazwa na nchi fulani kuwa yake kwa namna ya pekee. Kiasi ambacho dini hiyo inapata sapoti ya sheria, serikali n.k. inategemea kwa kawaida katiba ya nchi.

Si lazima serikali iwe chini ya mamlaka ya dini hiyo, wala kufuata masharti yake yote, wala kwamba uongozi wa dini uwe chini ya serikali au kwamba serikali iwe chini ya viongozi wa dini.

Historia

Dini rasmi zilikuwepo tangu zamani, kwa mfano Mashariki ya Kati tangu karne za K.K., na hata kabla ya historia inayoshuhudiwa na maandishi.

Uhusiano kati ya dini na mamlaka ya kisiasa ulijadiliwa na Marcus Terentius Varro (116 KK27 KK) kwa jina la theologia civilis ("teolojia ya uraia").

Upande wa Ukristo, kwa mara ya kwanza ulipata kuwa dini rasmi nchini Armenia mwaka 301.[1]

Dini rasmi leo

Nchi zenye dini rasmi.
     Ukristo        Uislamu        Ubuddha
Nchi zenye dini rasmi (kinaganaga).
     Ukristo      Kanisa Katoliki      Kanisa la Kiorthodoksi      Walutheri      Anglikana      Ukalvini      Umethodisti           Uislamu      Uislamu wa Kisuni      Uislamu wa Kishia      Uislamu wa Kiibadi         Ubuddha wa Theravada      Ubuddha wa Vajrayana

Katika nchi nyingi tumezoea kwamba serikali haina dini. Kila mwananchi ni huru kuchagua imani yake. Kumbe wazo hilo si la kawaida popote duniani.

Mpaka leo tunasikia habari za nchi zinazotoa kipaumbele kwa dini au madhehebu fulani upande wa serikali. Kule Uingereza mfalme au malkia anapaswa kuwa Mkristo wa Kianglikana naye ni mlezi mkuu wa Kanisa la Kianglikana. Kule Denmark na Sweden wafalme wanapaswa kuwa Wakristo wa Kilutheri. Katika nchi nyingi za Waarabu Rais awe Mwislamu wa madhehebu ya Sunni. Kule Iran Rais huchaguliwa kati ya wataalamu Waislamu wa madhehebu ya Shia. Taratibu hizo ni mabaki ya utaratibu ambao miaka 200 iliyopita ulikuwa kawaida katika sehemu nyingi za dunia.

Kwa sasa, dini rasmi katika nchi tofautitofauti ni Ukristo, Uislamu na Ubuddha. Suala la haki za Uyahudi nchini Israeli ni la pekee.

Nchi za Kikristo

Zifuatazo ni nchi zinazokubali rasmi madhehebu fulani ya Ukristo:

Nyingine

Nchi hizo pengine zinalipatia Kanisa Katoliki fadhili fulani bila kulifanya dini rasmi.

Ulutheri
Wareformati

Nchi za Kiislamu

Nchi nyingi ambako wananchi wengi ni Waislamu zimefanya dini yao kuwa rasmi, hata kukataza nyingine.

Islam (bila madhehebu maalumu)

Uislamu wa Kisuni

Uislamu wa Shiʾa

Uislamu wa Ibadi

Shia na Sunni pamoja

Nchi za Kibuddha

Theravada

Vajrayana

Uyahudi

Tanbihi

  1. The Journal of Ecclesiastical History – Page 268 by Cambridge University Press, Gale Group, C.W. Dugmore
  2. "Preable: First part, section 2". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-03-27. Iliwekwa mnamo 2014-12-21.
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-08. Iliwekwa mnamo 2014-12-21.
  4. "Costa Rica Constitution in English TITLE VI: RELIGION". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-06. Iliwekwa mnamo 2014-12-21.
  5. Constitution Religion kwenye Wayback Machine (archived 26 Machi 2009). (archived from the original on 2009-03-26).
  6. Constitution of Malta (Article 2)
  7. CONSTITUTION DE LA PRINCIPAUTE kwenye Wayback Machine (archived 27 Septemba 2011). (French): Art. 9., Principaute De Monaco: Ministère d'Etat (archived from the original on 2011-09-27).
  8. "Vatican City". Catholic-Pages.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-04. Iliwekwa mnamo 12 Agosti 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. "Constitution of the Republic of Paraguay". The role played by the Catholic Church in the historical and cultural formation of the Republic is hereby recognized.{{cite web}}: CS1 maint: postscript (link)
  10. "Constitution of the Republic of Peru" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2015-07-24. Iliwekwa mnamo 2014-12-21. Within an independent and autonomous system, the State recognizes the Catholic Church as an important element in the historical, cultural, and moral formation of Peru and lends it its cooperation. The State respects other denominations and may establish forms of collaboration with them.{{cite web}}: CS1 maint: postscript (link)
  11. "The Constitution of the Republic of Poland". 1997-04-02. The relations between the Republic of Poland and the Roman Catholic Church shall be determined by international treaty concluded with the Holy See, and by statute. The relations between the Republic of Poland and other churches and religious organizations shall be determined by statutes adopted pursuant to agreements concluded between their appropriate representatives and the Council of Ministers.{{cite web}}: CS1 maint: postscript (link)
  12. "Spanish Constitution" (PDF). The public authorities shall take into account the religious beliefs of Spanish society and shall consequently maintain appropriate cooperation relations with the Catholic Church and other confessions.{{cite web}}: CS1 maint: postscript (link)
  13. THE CONSTITUTION OF GREECE : SECTION II RELATIONS OF CHURCH AND STATE, Hellenic Resources network.
  14. Constitution of Georgia Article 9(1&2) and 73(1a/1)
  15. "The History of the Church of England". The Archbishops' Council of the Church of England. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-21. Iliwekwa mnamo 2006-05-24.
  16. Denmark – Constitution: Section 4 State Church, International Constitutional Law.
  17. Constitution of the Republic of Iceland: Article 62, Government of Iceland.
  18. "Statistics Iceland - Statistics » Population » Religious organisations". Statice.is. 2011. Iliwekwa mnamo 2011-05-27.
  19. The Constitution of Norway, Article 16 (English translation, published by the Norwegian Parliament)
  20. Løsere bånd, men fortsatt statskirke Ilihifadhiwa 8 Januari 2014 kwenye Wayback Machine., ABC Nyheter
  21. Staten skal ikke lenger ansette biskoper, NRK
  22. Human-Etisk Forbund. "Ingen avskaffelse: / Slik blir den nye statskirkeordningen". Fritanke.no.
  23. Offisielt frå statsrådet 27. mai 2016 regjeringen.no «Sanksjon av Stortingets vedtak 18. mai 2016 til lov om endringer i kirkeloven (omdanning av Den norske kirke til eget rettssubjekt m.m.) Lovvedtak 56 (2015-2016) Lov nr. 17 Delt ikraftsetting av lov 27. mai 2016 om endringer i kirkeloven (omdanning av Den norske kirke til eget rettssubjekt m.m.). Loven trer i kraft fra 1. januar 2017 med unntak av romertall I § 3 nr. 8 første og fjerde ledd, § 3 nr. 10 annet punktum og § 5 femte ledd, som trer i kraft 1. juli 2016.»
  24. Lovvedtak 56 (2015–2016) Vedtak til lov om endringer i kirkeloven (omdanning av Den norske kirke til eget rettssubjekt m.m.) Stortinget.no
  25. http://www.christianpost.com/news/norway-ends-500-year-old-lutheran-church-partnership-biggest-change-since-reformation-172480/
  26. Finland – Constitution, Section 76 The Church Act, http://servat.unibe.ch/icl/fi00000_.html.
  27. "Status of the Finnish State Church in 2007—Privileges of the State Church". eroakirkosta.fi. 7 Oktoba 2007. Iliwekwa mnamo 2007-10-23.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: postscript (link)
  28. 77.2 percent of Finns belong to the Lutheran church Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine. evl.fi 10.2.2012
  29. "Medlemmar 1972-2008, tabell och diagram" (kwa Swedish). Svenska kyrkan. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (XLS, 22.5 KiB) mnamo 2010-08-25. Iliwekwa mnamo 2014-12-21.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  30. "THE CONSTITUTION OF THE PEOPLE'S REPUBLIC OF BANGLADESH (As modified up to 17 May, 2004)". parliament.gov.bd. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-06. Iliwekwa mnamo 2014-12-21. {{cite web}}: External link in |publisher= (help)
  31. "International Religious Freedom Report for 2012 - Djibouti". Iliwekwa mnamo Oktoba 5, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  32. "Part I: "Introductory"". Pakistani.org. Iliwekwa mnamo Juni 4, 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  33. "Palestinian Basic Law (May 29, 2002)". Jewish Virtual Library.
  34. "Constitution of Cambodia". cambodia.org. Iliwekwa mnamo 2011-04-13.{{cite web}}: CS1 maint: postscript (link) (Article 43).
  35. "Thailand" (PDF). US Department of State. n.d. Iliwekwa mnamo 20 Oktoba 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Marejeo

  • Rowlands, John Henry Lewis (1989). Church, State, and Society, 1827-1845: the Attitudes of John Keble, Richard Hurrell Froude, and John Henry Newman. Worthing, Eng.: P. Smith [of] Churchman Publishing; Folkestone, Eng.: distr. ... by Bailey Book Distribution. ISBN 1-85093-132-1

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Read other articles:

Il canto del cignoMahershala Ali in una scena del filmTitolo originaleSwan Song Lingua originaleinglese Paese di produzioneStati Uniti d'America Anno2021 Durata112 min Rapporto2,39:1 Generedrammatico RegiaBenjamin Cleary SceneggiaturaBenjamin Cleary ProduttoreMahershala Ali, Rebecca Bourke, Jonathan King, Jacob Perlin, Adam Shulman, Mimi Valdés Casa di produzioneApple Studios, Anonymous Content, Know Wonder, Concordia Studios Distribuzione in italianoApple TV+ FotografiaMasanobu Takayanagi M...

 

 

هذه المقالة يتيمة إذ تصل إليها مقالات أخرى قليلة جدًا. فضلًا، ساعد بإضافة وصلة إليها في مقالات متعلقة بها. (أغسطس 2022) ألون حزان (بالعبرية: אלון חזן)‏    معلومات شخصية الميلاد 14 سبتمبر 1967 (56 سنة)  أسدود  الطول 1.84 م (6 قدم 1⁄2 بوصة) مركز اللعب وسط الجنسية إسرائي...

 

 

Польська математична школа (пол. Polska szkoła matematyczna) - назва груп математиків, що працювали у Польщі міжвоєнного періоду 1920-х та 1930-х років. Львівські математики 1930 Зміст 1 Історія 2 Джерела 3 Посилання 4 Див. також Історія Математики були зосереджені у трьох центрах: Львівська ма

James Earl RayFoto polisi Ray diambil pada tanggal 8 Juli 1955Lahir(1928-03-10)10 Maret 1928Alton, Illinois, ASMeninggal23 April 1998(1998-04-23) (umur 70)Nashville, Tennessee, ASSebab meninggalPenyakit ginjal dan gagal hati yang disebabkan oleh hepatitis CHukuman kriminal99 tahun penjara (satu tahun ditambahkan setelah dia ditangkap kembali dengan total 100 tahun)Orang tuaJames Gerald RayLucille RayAlasanPembunuhan, pelarian diri dari penjara, perampokan bersenjata, perampokanPerin...

 

 

The Home Depot, Inc.JenisPublic (NYSE: HD)IndustriRetail (Home Improvement)Didirikan1978 (Atlanta, Georgia, AS)KantorpusatAtlanta, Georgia, ASTokohkunciFrank Blake, CEO & ChairmanProdukHome improvement products such as appliances, tools, hardware,lumber, building materials, paint, plumbing, flooring and garden supplies & plants.Pendapatan$90.837 miliar USD (2006)Laba bersih$5.761 miliar USD (2006)Karyawan355,000Situs webwww.homedepot.com The Home Depot (NYSE: HD), atau secara sederhan...

 

 

اليمامة (بالإنجليزية: Dove)‏ طائر صغير يشبه الحمامة. يرمز إلى السلام (الدنيوى، أو إلى الروح القدس دينيا) ولقد كان يضحى للإلهة عشتار في حضارات الشرق القديم، وكذلك للإلهة أفروديت في حضارة اليونان باليمام في معبديهما. وتروى الأسطورة اليونانية أصل اليمام الذي يجر عربة أفروديت فتق

Ini adalah nama Nias, madonya adalah '.Suahasil NazaraSuahasil Nazara sebagai Wakil Menteri Keuangan, 2019Wakil Menteri Keuangan Indonesia ke-10PetahanaMulai menjabat 25 Oktober 2019PresidenJoko WidodoMenteriSri MulyaniPendahuluMardiasmo Informasi pribadiLahir23 November 1970 (umur 53)Jakarta, IndonesiaKebangsaanIndonesiaPartai politikIndependenOrang tuaHanati Nazara (ayah)Upik (ibu)Alma materUniversitas IndonesiaUniversitas CornellUniversitas Illinois Urbana-ChampaignProfesiEkon...

 

 

مجموعة صور صغيرة تمثل مراحل درب الصليب الأربعة عشر. درب الصليب، هو رتبة طقسية تقام في زمن الصوم الكبير، وفي أسبوع الآلام، في الكنيسة أو على الطرقات العامة، وتقرأ فيها نصوص صلب المسيح على أربع عشر مرحلة من العهد الجديد إلى جانب بعض المراحل المأخوذة من التقاليد المسيحية. وتر...

 

 

Cetak Kayu Dinasti Nguyen di Arsip Nasional Vietnam Cetak Kayu Dinasti Nguyễn (bahasa Vietnam: Mộc bản triều Nguyễn) adalah koleksi lempeng balok kayu yang dibuat pada masa pemerintahan Dinasti Nguyễn (1802-1945).[1] Balok-balok kayu dengan jumlah total 34.555 lempeng atau papan ini terbagi dalam lebih dari 100 bagian. Memuat ukiran tentang berbagai topik dari literatur resmi, sejarah, geografi, sosial-politik, militer, undang-undang, pendidikan hingga buku-buku klasik dan...

  提示:此条目的主题不是中華人民共和國與斯威士蘭關係。   關於中華民國與「斯」字國家(陸港澳星馬譯名)的外交關係,詳見中斯關係 (消歧義)。 中華民國-史瓦帝尼關係 斯威士兰 中華民國 代表機構史瓦帝尼王國駐華大使館中華民國(臺灣)駐史瓦帝尼大使館代表大使 蒙西比(Promise Sithembiso Msibi)大使 梁洪昇(Jeremy H.S. Liang) 中華民國—史瓦帝尼關係

 

 

The Cathedral of Saint-Jean-l'Évangéliste (St. John the Evangelist) is the seat of the Roman Catholic Diocese of Saint-Jean-Longueuil in Canada. It is located in the city of Saint-Jean-sur-Richelieu, Quebec. History The cathedral was founded as a parish church in 1828 to serve the people of the region, who until then had to cross the Iroquois River for religious services in Montreal, some 50 km (30 miles) away. The original church fronted on the Rue Jacques-Cartier. Within 30 thirty ye...

 

 

Aeropuerto Nacional Capitán Rogelio Castillo IATA: CYW OACI: MMCY FAA: LocalizaciónUbicación Guanajuato, MéxicoElevación 1,740Sirve a CelayaDetalles del aeropuertoTipo PúblicoOperador Patronato del Aeropuerto de CelayaEstadísticas (2022)Número de pasajeros N/DPistas DirecciónLargoSuperficie08/261,920AsfaltoMapa CYW Situación del aeropuerto en GuanajuatoSitio web Fuente: Agencia Federal de Aviación Civil[editar datos en Wikidata] Edificio terminal y torre de control del Ae...

Графік втрат міжнародноїкоаліції з рочатку війни Згідно з даними міністерств оборони США, Великої Британії та Австралії, а також незалежного інтернет-сайту iCasualties.org, станом на 8 серпня 2014 року в ході операції «Нескорена свобода» (англ. Enduring Freedom) сили міжнародної коаліції...

 

 

Salah satu faktor utama pendirian Muhammadiyah di Kota Salatiga adalah kebijakan pemerintah Hindia Belanda yang menciptakan kelas sosial di dalam masyarakat Jawa (Rohman 2019, hlm. 17). Muhammadiyah terbentuk di Kota Salatiga dalam rangka merespon kondisi sosial-politik umat Islam akibat kebijakan pemerintah Hindia Belanda yang menciptakan kelas sosial di dalam masyarakat Jawa. Saat itu, orang-orang kulit putih (khususnya Belanda) memiliki kedudukan paling tinggi, kedudukan kedua ditempa...

 

 

Pomeranian noble family Gryfici redirects here. For Polish noble family, see Gryfit family. House of GriffinParent houseHouse of Piast[1][2] or Gryfit family[3]Country Kingdom of Poland Duchy of Pomerania Kalmar Union Holy Roman Empire Founded12th centuryFounderWartislaw IFinal rulerBogislaw XIVTitles King of Denmark King of Norway King of Sweden Duke of Pomerania Duke of Pomerelia Prince of Rügen Dissolution1660 The House of Griffin or Griffin dynasty[4] (Ger...

American professional basketball player Jeff AdrienAdrien with Bnei Herzliya in 2016Personal informationBorn (1986-02-10) February 10, 1986 (age 37)Brookline, Massachusetts, U.S.Listed height6 ft 7 in (2.01 m)Listed weight245 lb (111 kg)Career informationHigh school Brookline(Brookline, Massachusetts) Brewster Academy(Wolfeboro, New Hampshire) CollegeUConn (2005–2009)NBA draft2009: undraftedPlaying career2009–2020PositionPower forward / centerNumber4, 8, 12Ca...

 

 

Comune in Lazio, ItalySan Lorenzo NuovoComuneComune di San Lorenzo Nuovo Coat of armsLocation of San Lorenzo Nuovo San Lorenzo NuovoLocation of San Lorenzo Nuovo in ItalyShow map of ItalySan Lorenzo NuovoSan Lorenzo Nuovo (Lazio)Show map of LazioCoordinates: 42°40′N 11°54′E / 42.667°N 11.900°E / 42.667; 11.900CountryItalyRegionLazioProvinceViterbo (VT)Government • MayorMassimo BambiniArea[1] • Total27.99 km2 (10.81 ...

 

 

Medical condition Medical conditionBarbiturate overdoseOther namesBarbiturate poisoning, barbiturate toxicityMolecular diagram of phenobarbitalSpecialtyEmergency medicineSymptomsDecreased breathing, decreased level of consciousness[1]ComplicationsNoncardiogenic pulmonary edema[2]Duration6–12 hours[2]CausesAccidental, suicide[3]Diagnostic methodBlood or urine tests[4]Treatmentmedical support, activated charcoal[5][6]FrequencyUncommon ...

Artikel ini membahas suatu peristiwa terkini. Informasi pada halaman ini dapat berubah setiap saat seiring dengan perkembangan peristiwa dan laporan berita awal mungkin tidak dapat diandalkan. Pembaruan terakhir untuk artikel ini mungkin tidak mencerminkan informasi terkini. Silakan perbaiki artikel ini atau diskusikan perubahan pada halaman pembicaraan, tetapi harap perhatikan bahwa pembaruan tanpa rujukan yang sah dan tepercaya akan dihapus. (Pelajari cara dan kapan saatnya untuk menghapus ...

 

 

  此條目介紹的是2020年3月9日(星期一)的股災。关于同年3月16日(星期一)的股災,请见「2020年黑色星期一 (3月16日)」。关于其他發生在星期一的事件,请见「黑色星期一」。 2020年黑色星期一WTI2019年以来的走势,红色段为2020年黑色星期一的变化日期2020年3月9日类型股災起因 2019新型冠状病毒疫情導致市場不穩定 俄罗斯与以沙特阿拉伯为首的欧佩克国家之间的石油...

 

 

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!