Lakini mwaka 1185ndugu Asen na Peter walifaulu kuanzisha dola la pili la Bulgaria lililofikia kilele chake katika miaka ya 1230.
Baada ya kugawanyika, falme tatu za Kibulgaria zilitekwa na Dola la Osmani mwaka 1396 kwa miaka 500 iliyofuata.
Vita kati ya Urusi na Uturuki vya miaka 1877–1878 vilileta uhuru kwa sehemu ndogo ya Bulgaria. Kwa kutaka Wabulgaria wote wawe ndani yake, nchi iliunga mkonoUjerumani katika vita vikuu vyote viwili na hatimaye ilishindwa.
Hivyo Bulgaria ikawa chini ya Wakomunisti kwa miaka 45.
"2011 census of Bulgaria"(PDF) (kwa Bulgarian). National Statistical Institute of Bulgaria. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo(PDF) mnamo 2013-07-27. Iliwekwa mnamo 20 Desemba 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Chary, Frederick B. The History of Bulgaria (The Greenwood Histories of the Modern Nations) (2011) excerpt and text search
Crampton, R. J. A Concise History of Bulgaria (2005) Cambridge, UK; New York: Cambridge University Press ISBN 978-0-521-61637-9
Bell, John D., ed. (1998). Bulgaria in Transition: Politics, Economics, Society, and Culture after Communism. Westview. ISBN 978-0-8133-9010-9
Ghodsee, Kristen R. (2011) Lost in Transition: Ethnographies of Everyday Life After Communism. Duke University Press.
Ghodsee, Kristen R. (2010) Muslim Lives in Eastern Europe: Gender, Ethnicity and the Transformation of Islam in Postsocialist Bulgaria. Princeton University Press.
Ghodsee, Kristen R. (2005) The Red Riviera: Gender, Tourism and Postsocialism on the Black Sea. Duke University Press.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bulgaria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.