Mengi kati ya makanisa ya Wakatoliki yaani picha 14 zilizopangwa kwa kawaida ukutani kwa umbali fulani ili kuwezesha waamini kutembea kati ya moja na nyingine huku wakiendelea kutafakari juu ya mateso ya Yesu, jinsi ambavyo wangefanya mjini Yerusalemu, ili kuelewa zaidi upendo wa Mungu, kuchukia dhambi na kuzifidia.[2][3]
Desturi hiyo inaweza kufuatwa na mtu mmojammoja au kwa makundi hata makubwa.[6]
Mbali ya kila Ijumaa ya mwaka, waamini wengi wanafuata njia hiyo wakati wa Kwaresima, na kwa namna ya pekee Ijumaa Kuu.[7]
Mbali ya vituo 14 vilivyozoeleka zaidi, wengine wanapenda kuviongeza, kuvipunguza au kuvibadilisha hasa kwa kufuata zaidi habari za Injili[8][9] na kumalizia na ufufuko wake.[10][11]
↑"The Official Web Site for the Archdiocese of Detroit"(PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo(PDF) mnamo 2010-12-23. Iliwekwa mnamo 2012-02-13. In some contemporary Stations of the Cross, a fifteenth station has been added to commemorate the Resurrection of the Lord.{{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)
↑"Fr. William Saunders". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-30. Iliwekwa mnamo 2009-04-04. Because of the intrinsic relationship between the passion and death of our Lord with His resurrection, several of the devotional booklets now include a 15th station, which commemorates the Resurrection.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Njia ya Msalaba kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!