Picha (kutoka neno la Kiingereza "picture", lililotokana na Kilatini "pictura") ni taswira ya kitu fulani ambacho kimechorwa au kutumia vifaa vya elektroniki kuchukua taswira ilivyo.
Siku hizi picha zimeenea kila mahali, na wengi wanapenda sana kuzipiga ili kutunza kumbukumbu zao.
Kwa kawaida watu hupigwa picha wakati wa harusi, ubatizo, mazishi, mahafali au wakati mwingine wowote ambapo ungependa kuuhifadhi katika kumbukumbu kwa njia ya picha.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Picha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!