Beseni la Malagarasi lina eneo la kilomita za mraba 130,000 (sq mita 50,000). Chanzo cha mto ni karibu na mpaka wa Burundi na Tanzania. Kilomita 80 za kwanza za mto hufanya mipaka ya kimataifa kati ya Tanzania na Burundi.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Malagarasi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.