Mto Ruhudji

Beseni la mto Ruhudji.

Mto Ruhudji ni mto wa Tanzania unaochangia mto Mnyera, tawimto la mto Kilombero, unaotiririka hadi kuungana na mto Luwegu kuunda mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi.

Pia Ruhudji ndiyo mto mkubwa mkoani Njombe ambao umekatisha katikati ya Njombe mjini ndipo inapopatikana pacha ya Makambako na Makete baada ya kuvuka daraja kubwa la mto huo kutoka makao makuu ya mkoa wa Njombe.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

Strategi Solo vs Squad di Free Fire: Cara Menang Mudah!