Mto Mkondoa ni mto wa Tanzania mashariki, unaotiririka hadi kuingia mto Mkata, tawimto la mto Wami ambao unaishia katika Bahari Hindi magharibi kwa Zanzibar.
Chanzo chake ni katika milima ya Ukaguru.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Mkondoa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |