Mto Mkomazi ni tawimto la mto Pangani ambao maji yake yanaishia katika bahari ya Hindi (mkoa wa Tanga, kaskazini mashariki mwa nchi Tanzania).
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Mkomazi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |